TANASHA DONNA: AFUNGUKA UKWELI HATUWASILIANI NA DIAMOND/HANIPI MATUMIZI YA MTOTO/HAMISA/ZARI/MWIJAKU
KUPITIA kipindi cha bomba la Sanaa nchini Kenya kinachoruka kwenye TV47 Tanasha amefanya mahojiano na mtangazaji mahiri sana Tony Mwirigi na kuzungumzia mambo kadhaa ambayo yanaendelea kwa sanana kuhusu yeye na Hamisa pamoja na kuweka wazi kuwa hawazungumzi na Diamond.