Viuno vya kimakonde balaa! Watu walewa chakali!, apiga bonge la show bure!Kila tarehe 15/03 ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa msanii wa bongo fleva Harmonize kutokea katika lebo ya wcb wasafiKatika kukumbuka nyumbani alipotokea Harmonize ameamua kuwa kila itakapofika tarehe hiyo atarudi kijijini kwao kusherehekea na wazazi wake pamoja na ndugu jamaa na marafiki waliocheza wote tangu utotoniTafadhali subscribe na kubonyeza alama ya kengere kwa updates zote kutoka hapa MOKO TV